Resultado encontrado

Show You Off

Savara
Enviar Pesquisar

Uh, More again, More again
(Savara Savara Savara)
This is Hendricks sound

Hallo hallo nimekuja na tangazo (hallo)
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango
Ya roho yangu mama

Girl I wanna show you off
Show you off show you off
(unawafinish kumalo)
Girl I wanna show you off
Show you off show you off
(unawafinish kumalo)

No no no no
Roho zimegongana hii ni ajali ya mapenzi
Si tulishapendana ananienzi namuenzi
Alivyoumbika Mashallah
Katoto kanyota yaani star
Kanaleta mwangaza
Staki kupoteza mabidhaa
Wacha niringie dunia

Hallo hallo nimekuja na tangazo (hallo)
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango
Ya roho yangu mama

Girl I wanna show you off
Show you off show you off
(unawafinish kumalo)
Girl I wanna show you off
Show you off show you off
(unawafinish kumalo)

Mmmhh la la la la la la la

Mapenzi yamejaa kwa hewa
Zima taa na upunguze AC (ai!)
Ni nani aliyekukera? (ra ra ra ra)
Anaishi wapi nimtumie jeshi
Hapa sitapenda tena
Lakini Leo nafungua kesi
Songea karibu upesi

Juu kati yetu kuna zero centimeter hakuna kilometer
Kiuno chako kinaniita naitika
My wangu senorita
Kati yetu kuna zero centimeter hakuna kilometer
Kiuno chako kinaniita naitika
My wangu seniorita

Hallo hallo nimekuja na tangazo (hallo)
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango
Ya roho yangu mama

Girl I wanna show you off
Show you off show you off
(unawafinish kumalo)
Girl I wanna show you off
Show you off show you off
(unawafinish kumalo)

(Waonyeshe waonyeshe waonyeshe venye nakupenda)

Harusi tunayo hatuna? (Tunayo tunayo)
Harusi tunayo hatuna? (Tunayo tunayo)
Mapenzi tunayo hatuna? (Tunayo tunayo)
Mapenzi tunayo hatuna? (Tunayo tunayo)

Observação

Resultado automático

Esta letra foi encontrada automaticamente e pode precisar de revisão.

Quando ela for adicionada ao catálogo principal do EMXStudio, poderá receber tradução, correção, categoria, artista vinculado e informações completas.