Resultado encontrado

MAMBICHWA - Magix Enga Ft Boondocks Gang

Magix Enga
Enviar Pesquisar

Yeah, mambichwa
Aha, mambichwa
Mambichwa (Gang! Gang!)
(Magix Enga on the Beat)
(Genge la Bundoksi) Mambichwa
Niko na bash kuingia kam na G bag
Na kumejaa sijui hata majina
Unaitwa nani? (Nilimaliza kusoma)
Anajibu vitu hata sijamuuliza
Ako na kibenje, ndani imejaa manyongi
Ako na mambichwa anasema ye ni pedi
Ushai choma ukaskia tumbo kwa mgongo (Ah, zii zii)
Unambeba ukiamka ni ong'ong'o (Sijai)
Zimenishika najiona niko na doo, kwa mfuko
(Ayayayaya)
Kumbe ni jaba
Zimenishika najiona niko na doh, kwa mfuko
(Ayayayaya)
Kumbe ni jaba
Yeah, mambichwa
Aha, mambichwa (Yeah yeah)
Mambichwa, (Tushike) mambichwa
Yeah, mambichwa
Aha, mambichwa (Yeah, yeah)
Mambichwa (Mmh, 'taniua)
Tushike mambichwa
Cheki, Njoki nadai kukusesea kwa choo
Doki anadai kukudungia kwa choo
Njeri nadai kukupatia kitom
Head, shoulder, knees and toes
Bend over miss and pause
Wangare si unapenda makagare
Amejibeba utadhani ako ngangare
Na utoto utadhani ako nursery
Alitekwa na Chris, utadhani ni Kantai
Ako dryspell, utadhani ni Maasai
Ikus inatupa, utadhani ni mortuary
Anakatwa, utadhani ni butchery
Ni kimbichwa changu, nimejengwa na pedi
Na sipei mtu, nakivuta nimedi
Ni kimbichwa changu, nimejengwa na pedi
Na sipei mtu, nakivuta nimedi
Mi ni Odi na, napenda dina
Na jegi shapeless ka kisogo ya Obinna
Na leo kasi na, rubber mi nina
Chimba rodinyo, kisinyore ya loya
Staki stori mingi mi nadai kukukemba
Na ka ungekuwa tire singebakisha ata pyenga
Nilikufunga bao juu nilinyanyisha refa
Na abudu ndom, jegi, turi na bado Ebenezer
Yeah, mambichwa
Aha, mambichwa (Yeah yeah)
Mambichwa, (Tushike) mambichwa
Yeah, mambichwa
Aha, mambichwa (Yeah yeah)
Mambichwa, (Tushike) mambichwa
Ah, Maddox
Seti mambichwa, vinchi da vinchwa
Aiyayayaya, si kashajipa
Kata mawaya mahaga tushatinga
Cheki si mabooze but, wanapenda timber
Seti tu malooks, ni wahindi Kalasinga
Vile wako ready tuko Subway, cheki simba
Ni za Tom and Jerry madimanga na ma G-bag
Aii, twende nazima
Nimekunywa ng'ang'o bila jina
Sembe leteni na dozen mzima
Rende ni ngeri, mvinyo naminya (Ah)
Magix, Enga hapa tu ni kuwatinga
Oxygen takatifu punga hewa (Yeah, mambichwa)
Black mamba ndani ya msitu inataka (Aha, mambichwa)
Ni mashada na ni mbivu vuta hewa (Mambichwa)
Vuta hewa (Tushike, mambichwa)
Oxygen takatifu punga hewa (Yeah, mambichwa)
Black mamba ndani ya msitu inataka (Aha, mambichwa)
Ni mashada na ni mbivu vuta hewa (Mambichwa)
Vuta hewa (Tushike, mambichwa)

Observação

Resultado automático

Esta letra foi encontrada automaticamente e pode precisar de revisão.

Quando ela for adicionada ao catálogo principal do EMXStudio, poderá receber tradução, correção, categoria, artista vinculado e informações completas.